Property Details

Nyumba Inauzwa Upanga tshs 197mil - Upanga

 • IMG_0412
 • IMG_0413
 • IMG_0414
 • IMG_0415
 • IMG_0416
 • IMG_0417
 • IMG_0418
 • IMG_0419
 • IMG_0420
 • IMG_0422
 • IMG_0424
 • IMG_0425
 • IMG_0426

For sale Tsh.90,000.00 - Apartment
1503 Bedrooms2 Bathrooms  Add to Favorites Print

Nyumba ipo eneo tulivu la Sea View, Upanga, karibu na Protea, Court Yard Hotel, kilomita 3 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, kinondoni na Masaki.

Nyumba ina vyumba vitatu, jiko na mahali pa kula.

Nyumba inafaa kwa matumizi ya familia au unaweza kuifanya kama kitega uchumi. Ikiwa kama kitega uchumi unaweza kuipangisha na kupata kodi ya 1.5mil kwa mwezi ( kadrio la chini), kwa mwaka 18mil…kwa miaka 11….(198mil), faida nyingine unaweza kuitumia kama ‘’security mortgage’’ ukaikopea ukatumia huo mkopo kufanya biashara nyingine huku uki-‘’service’’ mkopo kutoka katika biashara na nyumba yenyewe.

Mahitaji ya nyumba za kupanga Upanga ni makubwa sana. Mfano katika eneo lingine la jiji unaweza kununua kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1000 kwa tshs 200mil…ukatumia tshs 300mil kufanya ujenzi mwisho wa siku ukaipangisha nyumba kwa 1.5mil.

Kuiona piga simu au tuma ujumbe wa whatsapp katika namba +255784225000

Property Map

Submitted by kitomai

 • Office : +255755312233
 • Mobile : +255784225000

IN ENGLISH Interested in this property? Complete the form and one of our brokers will be in touch to assist you as soon as possible... IN KISWAHILI Je, kuiona hii Mali? Jaza fomu hiyo pembeni na mmoja wetu atawasiliana nawe mpange muda wa kuiona

Contact

Loading...
 

Similar Properties